Surah Nisa aya 27 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَاللَّهُ يُرِيدُ أَن يَتُوبَ عَلَيْكُمْ وَيُرِيدُ الَّذِينَ يَتَّبِعُونَ الشَّهَوَاتِ أَن تَمِيلُوا مَيْلًا عَظِيمًا﴾
[ النساء: 27]
Na Mwenyezi Mungu anataka kukurejezeni kwenye ut'iifu wake, na wanao taka kufuata matamanio wanataka mkengeuke makengeuko makubwa.
Surah An-Nisa in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Allah wants to accept your repentance, but those who follow [their] passions want you to digress [into] a great deviation.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Mwenyezi Mungu anataka kukurejezeni kwenye utiifu wake, na wanao taka kufuata matamanio wanataka mkengeuke makengeuko makubwa.
Na Mwenyezi Mungu anataka mrejee katika utiifu wake, na wale wanao fuata ladha zao, na matamanio yao machafu, miongoni mwa makafiri na waasi, wanataka muwe mbali kabisa na njia ya haki.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na kila jambo walilo lifanya limo vitabuni.
- Kama kwamba ni ngamia wa rangi ya manjano!
- Amekupigieni mfano kutokana na nafsi zenu. Je! Katika hao iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia
- Basi waachilie mbali, nawe hulaumiwi.
- Na miji mingapi iliyo vunja amri ya Mola wake Mlezi na Mitume wake, basi tuliihisabia
- Kwani hawaoni kwamba Mwenyezi Mungu humkunjulia riziki amtakaye na humdhikisha amtakaye? Hakika katika hayo zipo
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Na wana wanao onekana,
- Mkamwacha Yeye. Basi nyote nyinyi nipangieni vitimbi, na kisha msinipe muhula!
- Na ingeli kuwa hakuwa katika wanao mtakasa Mwenyezi Mungu,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nisa with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nisa mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nisa Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers