Surah Saba aya 28 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلَّا كَافَّةً لِّلنَّاسِ بَشِيرًا وَنَذِيرًا وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لَا يَعْلَمُونَ﴾
[ سبأ: 28]
Na hatukukutuma ila kwa watu wote, uwe mbashiri, na mwonyaji. Lakini watu wengi hawajui.
Surah Saba in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We have not sent you except comprehensively to mankind as a bringer of good tidings and a warner. But most of the people do not know.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na hatukukutuma ila kwa watu wote, uwe mbashiri, na mwonyaji. Lakini watu wengi hawajui.
Na Sisi hatukukutuma ewe Muhammad, ila kwa watu wote. Uwe ni mwenye kuwabashiria Waumini kuwa watapata kheri, na mwenye kuwaonya makafiri kuwa watapata shari. Lakini aghlabu ya watu hawaujui ukweli wako, wala kuwa Utume wako ni wa kwa watu wote. (Haya ni kwa sababu hapana Mtume aliye kuja kwa watu wote ila huyu Nabii Muhammad s.a.w. Nabii Musa alikuja kwa Wana wa Israili kuwatoa Misri. Nabii Isa, Yesu Kristo, pia kaja kwa Wana wa Israili tu, kama isemavyo Qurani 3.49, na Injili ya Mathayo 10.5-6 Yesu alipo sema: -Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.- Na 15.24 alipo sema: -Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.- Na Injili ya Yohana 17.9)
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na shari ya hasidi anapo husudu.
- Basi Thamudi waliangamizwa kwa balaa kubwa mno.
- Basi alipo fika mbashiri na akaiweka kanzu usoni pake alirejea kuona. Akasema: Je! Sikukwambieni kuwa
- Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema hakuteremsha kitu.
- Akasema: Je! Yanakusikieni mnapo yaita?
- Na likumbuke jina la Mola wako Mlezi asubuhi na jioni;
- Na kwa yakini tumekwisha ziangamiza kaumu za kabla yenu walipo dhulumu, na waliwajia Mitume wao
- Akasema: Enyi watu wangu! Mimi simo katika upotofu, lakini mimi ni Mtume nitokaye kwa Mola
- Ole wako, ole wako!
- Na Zakaria na Yahya na Isa na Ilyas. Wote walikuwa miongoni mwa watu wema.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Saba with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Saba mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Saba Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers