Surah Ad Dukhaan aya 4 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فِيهَا يُفْرَقُ كُلُّ أَمْرٍ حَكِيمٍ﴾
[ الدخان: 4]
Katika usiku huu hubainishwa kila jambo la hikima,
Surah Ad-Dukhaan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
On that night is made distinct every precise matter -
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Katika usiku huu hubainishwa kila jambo la hikima!
Katika usiku huu wenye baraka hupambanuliwa baina ya mambo yote yenye hikima, na Qurani ndio kilele cha hikima, na ndio pambanuo baina ya kweli na uwongo. Na kwa hivyo ndio ikateremshwa katika usiku huo.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Nao huwazuia watu, na wao wenyewe wanajitenga nayo. Nao hawaangamizi ila nafsi zao tu, wala
- Na ambao wanapo fanyiwa jeuri hujitetea.
- Nasi hatukukutuma ila kuwa ni Mbashiri na Mwonyaji.
- Naye amekwisha kuteremshieni katika Kitabu hiki ya kwamba mnapo sikia Aya za Mwenyezi Mungu zinakanushwa
- Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi
- Tutamtia kovu juu ya pua yake.
- Kisha mmwagieni juu ya kichwa chake adhabu ya maji yanayo chemka.
- Wala giza na mwangaza.
- Uteremsho wa Kitabu umetoka kwa Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
- Na mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume, na tahadharini. Na ikiwa mtageuka basi jueni ya
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ad Dukhaan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ad Dukhaan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ad Dukhaan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers