Surah Muhammad aya 33 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿۞ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا أَطِيعُوا اللَّهَ وَأَطِيعُوا الرَّسُولَ وَلَا تُبْطِلُوا أَعْمَالَكُمْ﴾
[ محمد: 33]
Enyi mlio amini! Mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume, wala msiviharibu vitendo vyenu.
Surah Muhammad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
O you who have believed, obey Allah and obey the Messenger and do not invalidate your deeds.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Enyi mlio amini! Mtiini Mwenyezi Mungu, na mtiini Mtume, wala msiviharibu vitendo vyenu.
Enyi mlio amini! Mtiini Mwenyezi Mungu katika aliyo kuamrisheni, na mtiini Mtume kwa hayo anayo kuitieni, wala msivipoteze vitendo vyenu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na lau kuwa watu wa miji wangeli amini na wakamchamngu, kwa yakini tungeli wafungulia baraka
- Lakini makundi yakakhitalifiana wao kwa wao. Basi ole wao hao walio kufuru kwa kuhudhuria Siku
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Basi wakajirudi nafsi zao, wakasema: Hakika nyinyi mlikuwa madhaalimu!
- Basi Saleh akwaacha na akasema: Enyi watu wangu! Nilikufikishieni Ujumbe wa Mola wangu Mlezi, na
- Basi yule ambaye mizani yake itakuwa nzito,
- Na bahari zitakapo pasuliwa,
- Siku atakapo simama Roho na Malaika kwa safu. Hawatasema ila Mwingi wa rehema aliye mruhusu,
- Na ambao wanaiogopa adhabu itokayo kwa Mola wao Mlezi.
- Basi akaitupa fimbo yake, mara ikawa nyoka wa kuonekana dhaahiri.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muhammad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muhammad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muhammad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers