Surah Yasin aya 37 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَآيَةٌ لَّهُمُ اللَّيْلُ نَسْلَخُ مِنْهُ النَّهَارَ فَإِذَا هُم مُّظْلِمُونَ﴾
[ يس: 37]
Na usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani.
Surah Ya-Sin in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And a sign for them is the night. We remove from it [the light of] day, so they are [left] in darkness.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na usiku ni Ishara kwao. Tunauvua humo mchana, mara wao wanakuwa gizani.
Na Ishara pia ya kuwepo Mwenyezi Mungu na uweza wake, ni huu usiku ambao tunautoa ndani yake mchana, kama kuivua nguo inayo sitiri. Mara utaona watu wamo gizani lilio wazunguka kila upande.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi hebu angalia ulikuwaje mwisho wa walio onywa.
- Na mageuko yako kati ya wanao sujudu.
- Ndio namna hivi. Na anaye lipiza mfano wa alivyo adhibiwa, kisha akadhulumiwa, basi hapana shaka
- Enyi mlio amini! Piganeni na wale makafiri walio karibu yenu, na wakute ugumu kwenu. Na
- Wakasema: Ewe Musa! Je, utatupa wewe, au tutakuwa sisi tutao tupa?
- Ni kama ada ya watu wa Firauni na walio kabla yao - walizikanusha Ishara za
- Wala hatukuwa tukiwalisha masikini.
- Na akakusanya mali, kisha akayahifadhi.
- Mwenyezi Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye
- Akasema: Siyo hivyo kabisa! Nendeni na miujiza yetu. Hakika Sisi tu pamoja nanyi, tunasikiliza.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yasin with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yasin mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yasin Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers