Surah Raad aya 37 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَكَذَٰلِكَ أَنزَلْنَاهُ حُكْمًا عَرَبِيًّا ۚ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُم بَعْدَمَا جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا وَاقٍ﴾
[ الرعد: 37]
Na ndio kama hivi tumeiteremsha Qur'ani kuwa ni hukumu kwa lugha ya Kiarabu. Na ukifuata matamanio yao baada ya kukujia ilimu hii, hutakuwa na rafiki wala mlinzi mbele ya Mwenyezi Mungu.
Surah Ar-Rad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And thus We have revealed it as an Arabic legislation. And if you should follow their inclinations after what has come to you of knowledge, you would not have against Allah any ally or any protector.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na ndio kama hivi tumeiteremsha Qurani kuwa ni hukumu kwa lugha ya Kiarabu. Na ukifuata matamanio yao baada ya kukujia ilimu hii, hutakuwa na rafiki wala mlinzi mbele ya Mwenyezi Mungu.
Na kama vilivyo teremka Vitabu vya mbinguni, tumekuteremshia wewe hii Qurani ili iwe ni hakimu baina ya watu kwa yaliyo baina yao, na iwe ni hakimu wa Vitabu vilivyo tangulia kuwa ni vya kweli. Na hii Qurani tumeiteremsha kwa lugha ya Kiarabu. Wala usitake kuwafurahisha washirikina au Ahli Lkitab (watu wa Biblia), baada ya ufunuo na ilimu iliyo kufikia. Na ukitaka kuwaridhi basi hutakuwa na wa kukusaidia au kukulinda mbele ya Mwenyezi Mungu. Hapa anaambiwa Nabii, khasa wanasemezwa Waumini wote. Na mahadharisho ya Waumini ni kweli kweli hivyo; na kwa Nabii ni kwa ajili ya kubainisha kuwa juu ya kuwa yeye ni mteuliwa, na mtukufu wa daraja, bado anafaa kuhadharishwa.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Au wewe unawaomba ujira, na kwa hivyo ndio wanaelemewa na uzito wa gharama?
- Na kifua changu kina dhiki, na ulimi wangu haukunjuki vyema. Basi mtumie ujumbe Harun.
- Na ambao wanahifadhi tupu zao.
- Na tumezilinda na kila shetani afukuzwaye.
- Lazima nitaikata mikono yenu na miguu yenu mbali mbali. Kisha nitakutundikeni misalabani.
- Kisha anatumai nimzidishie!
- Na hiyo ni Pepo mliyo rithishwa kwa hayo mliyo kuwa mkiyafanya.
- Na Nuhu alimwomba Mola wake Mlezi: Ee Mola Mlezi wangu! Hakika mwanangu ni katika ahali
- Basi siku hiyo hataadhibu yeyote namna ya kuadhibu kwake.
- Na mkijitenga nao na vile wanavyo viabudu badala ya Mwenyezi Mungu, basi kimbilieni pangoni, akufungulieni
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Raad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Raad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Raad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers