Surah Nahl aya 39 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿لِيُبَيِّنَ لَهُمُ الَّذِي يَخْتَلِفُونَ فِيهِ وَلِيَعْلَمَ الَّذِينَ كَفَرُوا أَنَّهُمْ كَانُوا كَاذِبِينَ﴾
[ النحل: 39]
Ili kuwabainishia yale waliyo khitalifiana, na ili wajue walio kufuru kwamba wao walikuwa ni waongo.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[It is] so He will make clear to them [the truth of] that wherein they differ and so those who have disbelieved may know that they were liars.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ili kuwabainishia yale waliyo khitalifiana, na ili wajue waliokufuru kwamba wao walikuwa ni waongo.
Hakika katika uadilifu wa Mwenyezi Mungu ni kuwa atawafufua wote baada ya kufa kwao ili ipate wadhihirikia hakika ya mambo waliyo khitalifiana. Waumini wapate kujua kuwa wao wako katika Haki, na makafiri wajue kwamba wao walikuwa makosani kwa kumfanyia Mwenyezi Mungu washirika katika Ungu, na pia ni waongo kwa kuapa kwao kwamba Mwenyezi Mungu hamfufui aliye kufa, na ili yote makundi mawili yapate malipo yao kwa kujua na kwa sababu zake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hayo ni kwa sababu nyinyi mlizifanyia mzaha Aya za Mwenyezi Mungu; na maisha ya dunia
- Na siku tutapo iondoa milima na ukaiona ardhi iwazi, na tukawafufua - wala hatutamwacha hata
- Hakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili.
- Na najikinga kwako, Mola wangu Mlezi, wasinikaribie.
- Hakika wanao mpinga Mwenyezi Mungu na Mtume wake, hao ndio miongoni mwa madhalili wa mwisho.
- Kwa nafuu yenu na mifugo yenu.
- Hakika Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni.
- Wala zisikushitue mali zao na watoto wao. Mwenyezi Mungu anataka kuwaadhibu kwa hayo katika dunia;
- Naye anaogopa,
- Na mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume ili mpate kurehemewa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers