Surah Yasin aya 39 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَالْقَمَرَ قَدَّرْنَاهُ مَنَازِلَ حَتَّىٰ عَادَ كَالْعُرْجُونِ الْقَدِيمِ﴾
[ يس: 39]
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe.
Surah Ya-Sin in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And the moon - We have determined for it phases, until it returns [appearing] like the old date stalk.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na mwezi tumeupimia vituo, mpaka unakuwa kama karara kongwe.
Na mwezi kwa mpango wetu tumeujaalia una vituo vyake. Mwanzo wa mwezi unakuwa mdogo na mwembamba. Kisha kila usiku unazidi kukua mpaka unatimia kuwa mbaamwezi. Tena unaingia kupungua vile vile, mpaka ukawa kama karara la mtende linapo kuwa kongwe limepindana na limekuwa manjano.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi wakamwokota watu wa Firauni, aje kuwa adui kwao na huzuni. Hakika Firauni na Hamana
- Enyi watu! Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni ya kweli. Basi yasikudanganyeni maisha ya dunia,
- Sema: Hivyo mnatutazamia litupate lolote isipo kuwa moja katika mema mawili? Na sisi tunakutazamieni kuwa
- Ngoja tu, na wao wangoje pia.
- Basi wakakusanywa wachawi wakati na siku maalumu.
- Ili washuhudie manufaa yao na walitaje jina la Mwenyezi Mungu katika siku maalumu juu ya
- Na kwa asubuhi inapo pambazuka!
- Na kwa yakini tumekwisha ziangamiza kaumu za kabla yenu walipo dhulumu, na waliwajia Mitume wao
- Nao walikuwa wakichonga majumba katika milima kwa amani.
- Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yasin with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yasin mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yasin Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers