Surah Jathiyah aya 4 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَفِي خَلْقِكُمْ وَمَا يَبُثُّ مِن دَابَّةٍ آيَاتٌ لِّقَوْمٍ يُوقِنُونَ﴾
[ الجاثية: 4]
Na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini.
Surah Al-Jaathiyah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And in the creation of yourselves and what He disperses of moving creatures are signs for people who are certain [in faith].
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini.
Na vile Mwenyezi Mungu kukuumbeni nyinyi, enyi watu, kama mlivyo, mna sura nzuri, na umbo la peke yenu, na mnavyo khitalifiana baina ya wanaadamu na wanyama na mkaenezwa ulimwenguni, na manufaa mbali mbali, bila ya shaka ni Ishara zenye nguvu na ziwazi kwa watu wanao tafuta yakini ya mambo yao kwa kuzingatia na kufikiri.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na washirikina wanasema: Mwenyezi Mungu angeli taka tusingeli abudu chochote badala yake, sisi wala baba
- Siku hiyo uombezi haufai kitu, ila wa aliye mruhusu Arrahmani Mwingi wa Rehema na akamridhia
- Wale ambao kwamba macho yao yalikuwa paziani hayanikumbuki, na wakawa hawawezi kusikia.
- Na bila ya shaka neno letu lilikwisha tangulia kwa waja wetu walio tumwa.
- Hebu hukuwaona wale walio badilisha neema ya Mwenyezi Mungu kwa kufuru, na wakawafikisha watu wao
- Enyi wanangu! Nendeni mkamtafute Yusuf na nduguye, wala msikate tamaa na faraji ya Mwenyezi Mungu.
- Na tunaye mzeesha tunamrudisha nyuma katika umbo. Basi je! hawazingatii?
- Na akaingia mjini wakati wa kughafilika wenyeji wake, na akakuta humo watu wawili wanapigana -
- Na ambao wanazitimiza amana zao na ahadi zao,
- Walio kufuru wamepambiwa maisha ya duniani; na wanawafanyia maskhara walio amini. Na wenye kuchamngu watakuwa
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Jathiyah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Jathiyah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Jathiyah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers