Surah shura aya 43 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَمَن صَبَرَ وَغَفَرَ إِنَّ ذَٰلِكَ لَمِنْ عَزْمِ الْأُمُورِ﴾
[ الشورى: 43]
Na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.
Surah Ash_shuraa in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And whoever is patient and forgives - indeed, that is of the matters [requiring] determination.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na anaye subiri, na akasamehe, hakika hayo ni katika mambo ya kuazimiwa.
Ninaapa: Bila ya shaka, mwenye kuvumilia kudhulumiwa, akamwachilia aliye mdhulumu, wala asiitetee nafsi yake, pindi ikiwa huko kusamehe kwenyewe hakuupalilii ufisadi ukapata nguvu katika nchi, hakika hayo ni katika mambo ambayo yanatakikana mwenye akili ajilazimishe kuyatenda.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Nawe utawadhania wamacho, na hali wamelala. Nasi tunawageuza kulia na kushoto. Na mbwa wao amenyoosha
- Wale ambao wanatimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu, wala hawavunji maagano.
- Wala hawana uwezo wa kuwanusuru wala wenyewe hawajinusuru.
- Na hawa hawangojei ila ukelele mmoja tu usio na muda.
- Na wale watakao kanusha Ishara zetu na wakazifanyia kiburi, hao ni watu wa Motoni; humo
- Haya yote ubaya wake ni wenye kuchukiza kwa Mola wako Mlezi.
- Katika maji ya moto, kisha wanaunguzwa Motoni,
- Wanatimiza ahadi, na wanaiogopa siku ambayo shari yake inaenea sana,
- Kisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji yamoto yaliyo chemka.
- Na kila mmoja anao upande anao elekea. Basi shindanieni mema. Popote mlipo Mwenyezi Mungu atakuleteni
Quran Surah in Swahili :
Download Surah shura with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah shura mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter shura Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers