Surah Al Imran aya 43 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿يَا مَرْيَمُ اقْنُتِي لِرَبِّكِ وَاسْجُدِي وَارْكَعِي مَعَ الرَّاكِعِينَ﴾
[ آل عمران: 43]
Ewe Maryamu! Mnyenyekee Mola Mlezi wako na usujudu na uiname pamoja na wainamao.
Surah Al Imran in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
O Mary, be devoutly obedient to your Lord and prostrate and bow with those who bow [in prayer]."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ewe Maryamu! Mnyenyekee Mola Mlezi wako na usujudu na uiname pamoja na wainamao.
Na kwa haya ewe Maryamu, yanakuwajibikia wewe umshukuru Mola wako Mlezi. Basi jilazimishe utiifu kwake, na uwe mwenye kushika Swala, na shirikiana na wengine wanao muabudu Mwenyezi Mungu na wanaswali kwa ajili yake.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Mwenyezi Mungu anakuusieni juu ya watoto wenu: Fungu la mwanamume ni kama fungu la wanawake
- Mola wetu Mlezi! Hakika mimi nimewaweka baadhi ya dhuriya zangu katika bonde lisilo kuwa na
- Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo?
- Na tukawanusuru; na wakawa wao ndio wenye kushinda.
- Na mkewe, mchukuzi wa kuni,
- Jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mkali wa kuadhibu, na ya kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye
- Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
- Na ikiwa mna shaka kwa hayo tuliyo mteremshia mja wetu basi leteni sura moja ya
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Na wakaomba ushindi, na akashindwa kila jabari mkaidi,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Imran with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Imran mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Imran Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



