Surah Muminun aya 68 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَفَلَمْ يَدَّبَّرُوا الْقَوْلَ أَمْ جَاءَهُم مَّا لَمْ يَأْتِ آبَاءَهُمُ الْأَوَّلِينَ﴾
[ المؤمنون: 68]
Je, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia baba zao wa zamani?
Surah Al-Muminun in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Then have they not reflected over the Qur'an, or has there come to them that which had not come to their forefathers?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Je, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia baba zao wa zamani?
Je! Hawa wenye kupuuza wamekuwa wajinga hata hawakuizingatia Qurani wakaijua kwamba hii hakika ni Haki? Au huu wito wa Muhammad kwao umekuwa ni namna mbali kuliko walio kuja nayo Mitume wengine kwa kaumu zilizo kwisha tangulia walio ambao baba zao waliwawahi?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Mola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilio baina yao, ikiwa nyinyi mna yakini.
- Huyu si lolote ila ni mtu anaye mzulia Mwenyezi Mungu uwongo, wala sisi sio wa
- Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.
- Na mitende mirefu yenye makole yaliyo zaa kwa wingi,
- Ati anaye umba ni kama asiye umba? Basi hebu, hamkumbuki?
- Au hatawashika katika nyendo zao, na wala hawataponyoka?
- Basi mbona hakuvikwa vikuku vya dhahabu, au hawakuja Malaika pamoja naye wakamwandama?
- Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao
- Hapana wa kuizuia.
- Na juu yao na juu ya marikebu mnabebwa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muminun with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muminun mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muminun Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers