Surah Assaaffat aya 70 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَهُمْ عَلَىٰ آثَارِهِمْ يُهْرَعُونَ﴾
[ الصافات: 70]
Na wao wakafanya haraka kufuata nyayo zao.
Surah As-Saaffat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
So they hastened [to follow] in their footsteps.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wao wakafanya haraka kufuata nyayo zao.
Wao waliwakuta baba zao wamepotoka, na wao wakafanya haraka kufuata zile zile nyayo za baba zao. Wakawa mbioni kwendea njia yao, wakifuata tu wala hawachungui, kama walio timuliwa na wakihimizwa wende mbio mbio kuwafuata hao baba zao bila ya kupima wala kuzingatia.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao
- Hakika Mola wako Mlezi anajua ya kuwa hakika wewe unakesha karibu na thuluthi mbili za
- Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote?
- Na tukamsahilishia Suleiman upepo wa kimbunga wendao kwa amri yake kwenye ardhi tuliyo ibarikia. Na
- Kisha ni juu yetu kuubainisha.
- Na pale Mola wako Mlezi alipo waleta katika wanaadamu kutoka migongoni mwao kizazi chao, na
- Wala msiwategemee wanao dhulumu, usije ukakuguseni Moto. Wala nyinyi hamna walinzi badala ya Mwenyezi Mungu,
- Walipo wajia Mitume wao kwa dalili zilizo wazi walijitapa kwa ilimu waliyo kuwa nayo. Basi
- Walipo kwisha pita alimwambia kijana wake: Tupe chakula chetu cha mchana. Kwa hakika tumepata machofu
- Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkuu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Assaaffat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Assaaffat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Assaaffat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



