Surah Zukhruf aya 80 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَمْ يَحْسَبُونَ أَنَّا لَا نَسْمَعُ سِرَّهُمْ وَنَجْوَاهُم ۚ بَلَىٰ وَرُسُلُنَا لَدَيْهِمْ يَكْتُبُونَ﴾
[ الزخرف: 80]
Au wanadhani kwamba hatusikii siri zao na minong'ono yao? Wapi! Na wajumbe wetu wapo karibu nao, wanayaandika.
Surah Az-Zukhruf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Or do they think that We hear not their secrets and their private conversations? Yes, [We do], and Our messengers are with them recording.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Au wanadhani kwamba hatusikii siri zao na minongono yao? Wapi! Na wajumbe wetu wapo karibu nao, wanayaandika.
Ati wanadhani hawa washirikina kwamba Sisi hatuyasikii maneno yao wenyewe wanapo panga njama, na wanapo semezana kwa siri katika kukanusha haki? Kwani! Twawasikia. Na Malaika wanao dhibiti kauli zao wanayaandika hayo.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni.
- Na katika wanyama amekujaalieni wenye kubeba mizigo na kutoa matandiko. Kuleni katika alivyo kuruzukuni Mwenyezi
- Na walio kufuru, basi kwao ni maangamizo, na atavipoteza vitendo vyao.
- Hali ya kuwa kundi moja amelihidi, na kundi jengine limethibitikiwa na upotofu. Kwa hakika hao
- Basi tulipo waondolea adhabu hiyo, mara wakaingia kuvunja ahadi.
- Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya
- Sema: Mola wangu Mlezi! Hukumu kwa haki. Na Mola wetu Mlezi ni Mwingi wa Rehema,
- Ili nitende mema sasa badala ya yale niliyo yaacha. Wapi! Hii ni kauli aisemayo yeye
- Zimo mikononi mwa Malaika waandishi,
- Mwanaadamu ameumbwa na haraka. Nitakuonyesheni Ishara zangu. Basi msinihimize.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Zukhruf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Zukhruf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Zukhruf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers