Surah Sad aya 88 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَتَعْلَمُنَّ نَبَأَهُ بَعْدَ حِينٍ﴾
[ ص: 88]
Na bila ya shaka mtajua khabari zake baada ya muda.
Surah Saad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And you will surely know [the truth of] its information after a time."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na bila ya shaka mtajua khabari zake baada ya muda.
Na hapana shaka nyinyi, mnao ikadhibisha Qurani, mtakuja jua karibuni hivi ukweli uliomo ndani yake wa ahadi, na maonyo, na khabari za mambo yatakayo kuja, na Ishara za ulimwengu.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
- Hivi ndivyo Mwenyezi Mungu Mwenye nguvu na Mwenye hikima anavyo kuletea Wahyi wewe na walio
- Mfalme wa wanaadamu,
- Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako
- Na wao wanapata kwao manufaa na vinywaji. Basi je, hawashukuru?
- Huyo ndiye anaye msukuma yatima,
- Kisha tumewarithisha Kitabu hao ambao tuliwateuwa miongoni mwa waja wetu. Kati yao yupo aliye jidhulumu
- Na akatoa mkono wake, mara ukawa mweupe kwa watazamao.
- Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika!
- Hao ni askari watao shindwa miongoni mwa makundi yatayo shindwa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Sad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Sad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Sad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



