Surah Hijr aya 91 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الَّذِينَ جَعَلُوا الْقُرْآنَ عِضِينَ﴾
[ الحجر: 91]
Ambao wakaifanya Qur'ani vipande vipande.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Who have made the Qur'an into portions.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ambao wakaifanya Qurani vipande vipande.
Hao waliifanya Qurani vipande mbali mbali, nayo hali kuwa haikubali kugawika kwa umuujiza wake na ukweli wake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Mwenyezi Mungu! Hapana mungu isipo kuwa Yeye. Yeye ana majina mazuri kabisa.
- Na Salamu juu ya Mitume.
- Na wamemwekea sehemu Mwenyezi Mungu katika mimea na wanyama alio umba, nao husema: Hii ni
- Mpaka tulipo wafungulia mlango wa adhabu kali, hapo ndipo wakawa wenye kukata tamaa.
- Anaziendesha bahari mbili zikutane;
- Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe.
- Na wakafuata yale waliyo zua mashet'ani kuuzulia ufalme wa Su leiman. Na wala Suleiman hakukufuru,
- Mwenye kuzuia kheri, dhaalimu, mwingi wa madhambi,
- Wakifurahi kwa yale aliyo wapa Mola wao Mlezi. Na Mola wao Mlezi atawalinda na adhabu
- Laiti tungeli pata kurejea tena tungeli kuwa katika Waumini.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers