Surah Hijr aya 90 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿كَمَا أَنزَلْنَا عَلَى الْمُقْتَسِمِينَ﴾
[ الحجر: 90]
Kama hivyo tuliwateremshia walio gawa,
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Just as We had revealed [scriptures] to the separators
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Kama hivyo tuliwateremshia walio gawa,
Haya ni kama maonyo ya walio igawanya Qurani wakaifanya ati ni mashairi, na ukohani, na hadithi za kale na mengineyo. Nao wasiiamini juu ya kusimama hoja juu yao.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na kwa hakika tulimpa Musa uwongofu, na tukawarithisha Wana wa Israili Kitabu,
- Yaani Mtume aliye toka kwa Mwenyezi Mungu anaye wasomea kurasa zilizo takasika,
- Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama?
- Huambiwi ila yale yale waliyo ambiwa Mitume wa kabla yako. Hakika Mola wako Mlezi bila
- Na tutawapa matunda, na nyama kama watavyo penda.
- Na miji mingapi iliyo jifakharisha tumeiangamiza! Na hayo maskani yao hayakukaliwa tena baada yao, ila
- Na mcheni aliye kupeni haya mnayo yajua.
- Ati amekhiari watoto wa kike kuliko wanaume?
- Na kaumu ngapi tumezihiliki kabla yao. Je! Unawaona hata mmoja katika wao au unasikia hata
- Sema: Mwaonaje, Mwenyezi Mungu angeli ufanya usiku umekukalieni moja kwa moja mpaka Siku ya Kiyama,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers