Surah Al Isra aya 107 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قُلْ آمِنُوا بِهِ أَوْ لَا تُؤْمِنُوا ۚ إِنَّ الَّذِينَ أُوتُوا الْعِلْمَ مِن قَبْلِهِ إِذَا يُتْلَىٰ عَلَيْهِمْ يَخِرُّونَ لِلْأَذْقَانِ سُجَّدًا﴾
[ الإسراء: 107]
Sema: Iaminini au msiiamini. Hakika wale walio pewa ilimu kabla yake, wanapo somewa hii, huanguka kifudifudi wanasujudu.
Surah Al-Isra in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Say, "Believe in it or do not believe. Indeed, those who were given knowledge before it - when it is recited to them, they fall upon their faces in prostration,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Sema: Iaminini au msiiamini. Hakika wale walio pewa ilimu kabla yake, wanapo somewa hii, huanguka kifudifudi wanasujudu.
Waambie makafiri wa Makka kwa kuwatisha: Jichagulieni nafsi zenu mlitakalo - kuiamini Qurani au la! Kwani hakika walio pewa ilimu sawa na fahamu baraabara kabla ya kuteremka kwake, wakisomewa Qurani huangukia kwenye nyuso zao kwa kusujudu na kumshukuru Mwenyezi Mungu Mtukufu.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na mbingu jinsi ilivyo inuliwa?
- Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa?
- Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata
- Basi naapa kwa Mola wako Mlezi! Kwa yakini tutawakusanya wao pamoja na mashet'ani; kisha tutawahudhurisha
- Wala usimt'ii kila mwingi wa kuapa wa kudharauliwa,
- Nao wakamwacha, wakampa kisogo.
- Yeye ndiye aliye kuumbeni. Miongoni mwenu yupo aliye kafiri, na yupo aliye Muumini. Na Mwenyezi
- Sema: Hakika mimi nimeamrishwa nimuabudu Mwenyezi Mungu kwa kumsafishia Dini Yeye tu.
- Na Mwenyezi Mungu huhakikisha Haki kwa maneno yake, hata wanga chukia wakosefu
- Na kwa wenye kukataza mabaya.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Isra with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Isra mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Isra Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



