Surah Al Isra aya 106 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقُرْآنًا فَرَقْنَاهُ لِتَقْرَأَهُ عَلَى النَّاسِ عَلَىٰ مُكْثٍ وَنَزَّلْنَاهُ تَنزِيلًا﴾
[ الإسراء: 106]
Na Qur'ani tumeigawanya sehemu mbali mbali ili uwasomee watu kwa kituo, na tumeiteremsha kidogo kidogo.
Surah Al-Isra in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And [it is] a Qur'an which We have separated [by intervals] that you might recite it to the people over a prolonged period. And We have sent it down progressively.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Qurani tumeigawanya sehemu mbali mbali ili uwasomee watu kwa kituo, na tumeiteremsha kidogo kidogo.
Na hii Qurani tumeigawa na tumeiteremsha kipande kipande kwa muda mrefu, ili uwasomee watu kwa taratibu wapate kuifahamu. Tumeiteremsha kidogo kidogo kwa utulivu bila ya matatanisho.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na kadhaalika hatukumtuma mwonyaji kwenye mji wowote ila watu wake walio deka kwa starehe walisema:
- Wanafunzi walipo sema: Ewe Isa bin Maryamu! Je, Mola wako Mlezi anaweza kututeremshia chakula kutoka
- Akasema: Enyi watu wangu! Kwa hakika mimi ni mwonyaji wa dhaahiri kwenu,
- Jua litakapo kunjwa,
- Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele!
- Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka
- Wala wewe huwaombi ujira kwa haya. Hayakuwa haya ila ni mawaidha kwa walimwengu wote.
- Hii ndiyo Jahannamu ambayo wakosefu wakiikanusha.
- Ati tukifa na tukawa udongo...? Kurejea huko kuko mbali!
- Hii basi ndiyo Jahannamu mliyo kuwa mkiahidiwa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Isra with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Isra mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Isra Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers