Surah Sad aya 12 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿كَذَّبَتْ قَبْلَهُمْ قَوْمُ نُوحٍ وَعَادٌ وَفِرْعَوْنُ ذُو الْأَوْتَادِ﴾
[ ص: 12]
Walikanusha kabla yao kaumu ya Nuhu, na kina A'adi na Firauni mwenye majengo.
Surah Saad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
The people of Noah denied before them, and [the tribe of] 'Aad and Pharaoh, the owner of stakes,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Walikanusha kabla yao kaumu ya Nuhu, na kina aadi na Firauni mwenye majengo.
Kabla ya hawa, walikadhibisha kaumu ya Nuhu, kina aadi na Firauni aliye kuwa na majengo makubwa yaliyo simama imara kama milima, na kina Thamudi na Kaumu Luti na Kaumu ya Shuaibu, na watu wa Machakani, kwenye miti mingi iliyo shikamana. Hao ndio walio jumuika kuwapinga Mitume wao kama walivyo jumuika watu wako.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Au wewe unawaomba ujira, na kwa hivyo ndio wanaelemewa na uzito wa gharama?
- Siku ambayo mtu atakumbuka aliyo yafanya,
- Basi ni kwa sababu ya rehema itokayo kwa Mwenyezi Mungu ndio umekuwa laini kwao. Na
- Hakika Yeye ndiye Mwenye kusikia Mwenye kujua.
- Na wanapo ambiwa: Jilindeni na yalioko mbele yenu na yalioko nyuma yenu, ili mpate kurehemewa...
- Na shika kicha cha vijiti tu mkononi mwako, kisha ndio upigie nacho, wala usivunje kiapo.
- Ile khabari kuu,
- Wala msikae katika kila njia mkitisha watu, na kuwazuilia na Njia ya Mwenyezi Mungu wale
- Na lau kuwa si neema ya Mola wangu Mlezi bila ya shaka ningeli kuwa miongoni
- Kuwa mtapata humo mnayo yapenda?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Sad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Sad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Sad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers