Surah Sad aya 13 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَثَمُودُ وَقَوْمُ لُوطٍ وَأَصْحَابُ الْأَيْكَةِ ۚ أُولَٰئِكَ الْأَحْزَابُ﴾
[ ص: 13]
Na Thamud na kaumu Lut'i na watu wa Machakani. Hayo ndiyo makundi.
Surah Saad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And [the tribe of] Thamud and the people of Lot and the companions of the thicket. Those are the companies.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Thamud na kaumu Luti na watu wa Machakani. Hayo ndiyo makundi.
Na kina Thamudi na Kaumu Luti na Kaumu ya Shuaibu, na watu wa Machakani, kwenye miti mingi iliyo shikamana. Hao ndio walio jumuika kuwapinga Mitume wao kama walivyo jumuika watu wako.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hapana umma uwezao kutanguliza ajali yake wala kuikawiza.
- Na kwa mti huo mtajaza matumbo.
- Naye anaogopa,
- Na kwa dari iliyo nyanyuliwa,
- Na Musa akasema: Mimi najikinga kwa Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi anilinde na
- Wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki, ila kwa kuwa wanasema: Mola wetu Mlezi ni
- Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa
- Wale tulio wapa Kitabu wanayajua haya kama wanavyo wajua watoto wao; na kuna kikundi katika
- Na mtaje Musa katika Kitabu. Hakika yeye alikuwa ni mwenye kuchaguliwa, na alikuwa Mtume, Nabii.
- Kadhaalika; na tukawarithisha hayo Wana wa Israili.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Sad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Sad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Sad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



