Surah Al Qamar aya 34 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّا أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ حَاصِبًا إِلَّا آلَ لُوطٍ ۖ نَّجَّيْنَاهُم بِسَحَرٍ﴾
[ القمر: 34]
Hakika Sisi tukawapelekea kimbunga cha vijiwe, isipo kuwa wafuasi wa Lut'i. Hao tuliwaokoa karibu na alfajiri.
Surah Al-Qamar in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, We sent upon them a storm of stones, except the family of Lot - We saved them before dawn
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika Sisi tukawapelekea kimbunga cha vijiwe, isipo kuwa wafuasi wa Luti. Hao tuliwaokoa karibu na alfajiri.
Hakika Sisi tuliwapelekea upepo mkali wa kuwatupia changarawe. Isipo kuwa watu wa Luti walio amini. Hao tuliwaokoa na adhabu hii mwisho wa usiku.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Vinamkhofu Mola wao Mlezi aliye juu yao, na vinafanya vinavyo amrishwa.
- Wala msiwaoe wake walio waoa baba zenu, ila yaliyo kwisha pita. Hakika huo ni uchafu
- Na kabla ya alfajiri wakiomba maghfira.
- Rehema ambayo Mwenyezi Mungu anawafungulia watu hapana wa kuizuia. Na anayo izuia hapana wa kuipeleka
- Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na inameni pamoja na wanao inama.
- Na aliye tubu na akafanya mema, basi hakika huyo ametubu kweli kweli kwa Mwenyezi Mungu.
- Atendaye ayatakayo.
- Na itasemwa: Waiteni hao miungu wa kishirikina wenu! Basi watawaita, lakini hawatawaitikia, na wataiona adhabu;
- Huo ndio mwendo kwa Mitume tulio watuma kabla yako. Wala hupati mabadiliko katika mwendo wetu.
- Na kwa bahari iliyo jazwa,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Qamar with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Qamar mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Qamar Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



