Surah Shuara aya 121 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً ۖ وَمَا كَانَ أَكْثَرُهُم مُّؤْمِنِينَ﴾
[ الشعراء: 121]
Hakika katika haya ipo Ishara, lakini si wengi wao walio kuwa Waumini.
Surah Ash-Shuara in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed in that is a sign, but most of them were not to be believers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na hakika Mola wako Mlezi ndiye Yeye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.
Hakika katika yaliyo simuliwa na Qurani juu ya khabari za Nuhu ni hoja ya kuthibitisha ukweli wa Mitume na uwezo wa Mwenyezi Mungu. Na katika watu walio somewa hadithi hizi si wengi walio amini.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Kisha anatumai nimzidishie!
- Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri.
- Wala hawakufarikiana walio pewa Kitabu ila baada ya kuwajia hiyo bayana.
- Na zinazo beba mizigo,
- Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka!
- Na wale ambao huyaunga aliyo amrisha Mwenyezi Mungu yaungwe, na wanaikhofu hisabu mbaya.
- Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao
- Basi anaye taka atakumbuka.
- Haiwi kauli ya Waumini wanapo itwa kwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake ili ahukumu baina
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Shuara with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Shuara mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Shuara Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers