Surah Baqarah aya 14 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِذَا لَقُوا الَّذِينَ آمَنُوا قَالُوا آمَنَّا وَإِذَا خَلَوْا إِلَىٰ شَيَاطِينِهِمْ قَالُوا إِنَّا مَعَكُمْ إِنَّمَا نَحْنُ مُسْتَهْزِئُونَ﴾
[ البقرة: 14]
Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashet'ani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.
Surah Al-Baqarah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And when they meet those who believe, they say, "We believe"; but when they are alone with their evil ones, they say, "Indeed, we are with you; we were only mockers."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wanapo kutana na walio amini husema: Tumeamini. Na wanapo kuwa peke yao na mashetani wao husema: Hakika sisi tu pamoja nanyi. Hakika sisi tunawadhihaki tu.
Hawa wanaafiki wakiwakuta Waumini wa kweli husema: -Sisi tunaamini hayo hayo mnayo amini nyinyi,- yaani kumkubali Mtume na wito wake, -na sisi tu pamoja nanyi katika itikadi.- Wakisha ondoka wakakutana na wenzao wanao shabihiana na mashetani kwa fitina na ufisadi, huwaambia: -Sisi tu pamoja nanyi katika njia yenu na kazi yenu, lakini tukiwaambia yale hao Waumini kwa ajili ya kuwalazia na kuwadhihaki tu.-
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi Mwenyezi Mungu atawalipa, kwa yale waliyo yasema, Bustani zipitazo mito katika yake; humo watadumu.
- Au unawaomba ujira, na wao wanaemewa na gharama hiyo?
- Na mcheni aliye kuumbeni nyinyi na vizazi vilivyo tangulia.
- Si dhambi juu ya walio amini na wakatenda mema kwa walivyo vila (zamani) maadamu wakichamngu
- Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe.
- Na walio amini watasema: Hivyo hawa ndio wale walio apa ukomo wa viapo vyao kuwa
- Alipo waambia ndugu yao Saleh: Je! Hamumchimngu?
- Na ukiwauliza: Nani aliye ziumba mbingu na ardhi? Bila ya shaka watasema: Kaziumba Mwenye nguvu,
- Basi kuleni katika mlivyo teka, ni halali na vizuri, na mcheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi
- Kwani hatukuifanya ardhi yenye kukusanya
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Baqarah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Baqarah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Baqarah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers