Surah Assaaffat aya 141 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَسَاهَمَ فَكَانَ مِنَ الْمُدْحَضِينَ﴾
[ الصافات: 141]
Akaingia katika kupigiwa kura, na akawa katika walio shindwa.
Surah As-Saaffat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And he drew lots and was among the losers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Akaingia katika kupigiwa kura, na akawa katika walio shindwa.
Alipo wahama watu wake bila ya amri ya Mola wake Mlezi, akaliendea jahazi ambalo lilio kwisha sheheni pomoni, akalipanda. Jahazi likapatikana na mambo ikawajibikia lazima mmoja katika abiria atoswe kupunguza shehena yake. Kura ikamuangukia Yunus, akashindwa kwa kura. Akatoswa baharini kwa mujibu wa ada yao zama zile.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi ilipo wajia Haki kutoka kwetu walisema: Hakika huu ni uchawi dhaahiri.
- Hakikuacha hicho kuwa kilio chao mpaka tukawafanya kama walio fyekwa, wamezimika.
- Na ama ukuta, huo ulikuwa ni wa vijana wawili mayatima kule mjini. Na chini yake
- Basi ole wao siku hiyo hao wanao kadhibisha,
- Na unijaalie katika warithi wa Bustani za neema.
- Ndio hivyo iwe! Na anaye vitukuza vitakatifu vya Mwenyezi Mungu basi hayo ndiyo kheri yake
- Na sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu Mola Mlezi wa walimwengu wote.
- Siku hiyo yule atakaye epushwa nayo adhabu hiyo atakuwa Mwenyezi Mungu amemrehemu. Na huko ndiko
- Na Musa alisema: Mkikufuru nyinyi na wote waliomo duniani, hakika Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, Anajitosha,
- Basi naapa kwa mnavyo viona,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Assaaffat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Assaaffat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Assaaffat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers