Surah Al Hashr aya 19 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَا تَكُونُوا كَالَّذِينَ نَسُوا اللَّهَ فَأَنسَاهُمْ أَنفُسَهُمْ ۚ أُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ﴾
[ الحشر: 19]
Wala msiwe kama wale walio msahau Mwenyezi Mungu, na Yeye akawasahaulisha nafsi zao. Hao ndio wapotovu.
Surah Al-Hashr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And be not like those who forgot Allah, so He made them forget themselves. Those are the defiantly disobedient.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wala msiwe kama wale walio msahau Mwenyezi Mungu, na Yeye akawasahaulisha nafsi zao. Hao ndio wapotovu.
Enyi Waumini! Msiwe kama wale walio sahau haki za Mwenyezi Mungu, na Yeye akawasahaulisha nafsi zao, kwa kuwajaribu kwa mitihani, na wakawa hawajui linalo wafaa na linalo wadhuru. Hao ndio walio toka wakaacha utiifu wa Mwenyezi Mungu.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Juu yao utakuwa Moto ulio fungiwa kila upande.
- Basi na awaite wenzake!
- Au ndio wanasema: Ameitunga hii! Bali basi tu hawaamini!
- Hao wanao fanya kuwa pamoja na Mwenyezi Mungu yupo mungu mwingine. Basi, watakuja jua!
- Atakaye tenda wema atapata malipo bora kuliko huo wema alio utenda. Na atakaye tenda uovu,
- Haubakishi wala hausazi.
- Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli?
- Sema: Mola wangu Mlezi! Ukinionyesha adhabu waliyo ahidiwa,
- Hakika nyinyi bila ya shaka mtaionja adhabu chungu.
- Basi wapuuze, nawe ngonja; hakika wao wanangoja.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Hashr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Hashr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Hashr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



