Surah Shuara aya 25 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالَ لِمَنْ حَوْلَهُ أَلَا تَسْتَمِعُونَ﴾
[ الشعراء: 25]
(Firauni) akawaambia walio mzunguka: Hamsikilizi?
Surah Ash-Shuara in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[Pharaoh] said to those around him, "Do you not hear?"
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
(Firauni) akawaambia walio mzunguka: Hamsikilizi?
Firauni kuonyesha mastaajabu kwa wale walio mzunguka kwa kuwa Musa katika jawabu yake alipo mtaja Mola wake Mlezi na akadhukuru Ufalme wake hakuugusia hata kidogo ufalme wa Firauni, alisema: Mwayasikiaje maneno ya Musa?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hao makao yao ni Jahannamu, na wala hawapati makimbilio kutoka humo.
- Basi waulize: Ati Mola wako Mlezi ndiye mwenye watoto wa kike, na wao wanao watoto
- Kwa kudai kwao kuwa Arrahmani Mwingi wa Rehema ana mwana.
- Hakika wabadhirifu ni ndugu wa Mashet'ani. Na Shet'ani ni mwenye kumkufuru Mola wake Mlezi.
- Hakika wamekhasirika walio kanusha kukutana na Mwenyezi Mungu, mpaka ilipo wajia Saa kwa ghafla, wakasema:
- Hakika wachamngu wanastahiki kufuzu,
- Kila umma tumewajaalia na ibada zao wanazo zishika. Basi wasizozane nawe katika jambo hili. Na
- Katika hizo bahari mbili zinatoka lulu na marijani.
- Basi walipo kuja wachawi, Musa aliwaambia: Tupeni mnavyo tupa!
- Na katika Ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Shuara with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Shuara mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Shuara Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers