Surah Hijr aya 2 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿رُّبَمَا يَوَدُّ الَّذِينَ كَفَرُوا لَوْ كَانُوا مُسْلِمِينَ﴾
[ الحجر: 2]
HUENDA ikawa walio kufuru wakatamani wange kuwa Waislamu.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Perhaps those who disbelieve will wish that they had been Muslims.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
HUENDA ikawa walio kufuru wakatamani wange kuwa Waislamu.
Watapenda, na watatamani sana makafiri wanao zikanya Aya za Mwenyezi Mungu Subhanahu wa Taala, watapo ona adhabu ya Siku ya Kiyama, lau kuwa walisilimu walipo kuwapo duniani, na wakafuata kwa ikhlasi Dini ya Mwenyezi Mungu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Akasema: Ewe mwana wa mama yangu! Usinishike ndevu zangu, wala kichwa changu. Kwa hakika naliogopa
- Na kwa mchana unapo lidhihirisha!
- Na ya kwamba hatapata mtu ila aliyo yafanya mwenyewe?
- Siku hiyo yule atakaye epushwa nayo adhabu hiyo atakuwa Mwenyezi Mungu amemrehemu. Na huko ndiko
- Kwani hatukuifanya ardhi yenye kukusanya
- Au mnacho kitabu ambacho ndani yake mnasoma?
- Hakika mnayo ahidiwa bila ya shaka yatakuwa!
- La mbingu wala ardhi hazikuwalilia, wala hawakupewa muhula.
- Na kila kidogo na kikubwa kimeandikwa.
- Na pale Lut'i alipo waambia watu wake: Hakika nyinyi mnafanya uchafu, ambao hapana mmoja katika
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers