Surah Hijr aya 3 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿ذَرْهُمْ يَأْكُلُوا وَيَتَمَتَّعُوا وَيُلْهِهِمُ الْأَمَلُ ۖ فَسَوْفَ يَعْلَمُونَ﴾
[ الحجر: 3]
Waache wale, na wastarehe, na iwazuge tamaa. Watakuja jua.
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Let them eat and enjoy themselves and be diverted by [false] hope, for they are going to know.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Waache wale, na wastarehe, na iwazuge tamaa. Watakuja jua.
Lakini sasa wamo katika kughafilika, hawazingatii adhabu itakayo wapata Akhera! Basi ukisha wafikishia ujumbe wako, na ukawaonya, waachilie mbali. Wao hawana hamu ila kula, na kustarehe kwa ladha za dunia. Tamaa ya uwongo inawazuga. Na hakika bila ya shaka yoyote watakuja jua yatakayo wapata pale watapo yaona kwa macho yao Siku ya Kiyama.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Akawakaribisha, akasema: Mbona hamli?
- Na yakakusanywa yaliomo vifuani?
- Basi usimdhanie Mwenyezi Mungu kuwa ni mwenye kuwavunjia ahadi yake Mitume wake. Hakika Mwenyezi Mungu
- Hakika hao hawakuwa wakitaraji kuwa kuna hisabu.
- Na mti utokao katika mlima wa Sinai, unatoa mafuta na kuwa kitoweo kwa walao.
- Na wakikujadili basi sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi mnayo yatenda.
- Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yako na rehema yake, kundi moja
- Wala jamaa hatamuuliza jamaa yake.
- Basi alipo jitenga nao na yale waliyo kuwa wakiyaabudu badala ya Mwenyezi Mungu, tulimpa Is-haq
- Akasema Zakariya: Mola wangu Mlezi! Vipi nitapata mwana na hali ukongwe umenifikia, na mke wangu
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



