Surah Anbiya aya 2 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿مَا يَأْتِيهِم مِّن ذِكْرٍ مِّن رَّبِّهِم مُّحْدَثٍ إِلَّا اسْتَمَعُوهُ وَهُمْ يَلْعَبُونَ﴾
[ الأنبياء: 2]
Hayawafikilii mawaidha mapya kutoka kwa Mola wao Mlezi ila huyasikiliza na huku wanafanya mchezo.
Surah Al-Anbiya in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
No mention comes to them anew from their Lord except that they listen to it while they are at play
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hayawafikilii mawaidha mapya kutoka kwa Mola wao Mlezi ila huyasikiliza na huku wanafanya mchezo.
Haiwajii Qurani kutokana na Mola wao Mlezi pale inapoteremka kuwakumbusha ya kuwanufaisha, ila wao huisikiliza na hali wao wameshughulika na mengine yasiyo na faida nao, wakicheza kama wachezavyo watoto wadogo.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kisha tukawazamisha baadaye walio bakia.
- Na walisema: Mbona hakuteremshiwa Ishara kutoka kwa Mola wake Mlezi? Sema: Ishara ziko kwake Mwenyezi
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Akasema: Hakika wewe hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami.
- Kilipo ufunika huo Mkunazi hicho kilicho ufunuika.
- Na tukamfunulia hukumu hiyo, ya kwamba hata wa mwisho wao hao ikifika asubuhi atakuwa kesha
- Khabari za wakosefu:
- Na nini kilicho kutia haraka ukawaacha watu wako, ewe Musa?
- Hawayaamini haya, na hali ya kuwa umekwisha wapitia mfano wa watu wa kale.
- Isipo kuwa wale walio tubu, na wakatengeneza na wakashikamana na Mwenyezi Mungu, na wakamtakasia Dini
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Anbiya with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Anbiya mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Anbiya Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers