Surah Raad aya 20 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الَّذِينَ يُوفُونَ بِعَهْدِ اللَّهِ وَلَا يَنقُضُونَ الْمِيثَاقَ﴾
[ الرعد: 20]
Wale ambao wanatimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu, wala hawavunji maagano.
Surah Ar-Rad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Those who fulfill the covenant of Allah and do not break the contract,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wale ambao wanatimiza ahadi ya Mwenyezi Mungu, wala hawavunji maagano.
Hao ndio wanao tambua Haki. Wao ndio wanao timiza ahadi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu iliyo juu yao kwa muujibu wa maumbile, na kwa muujibu wa maagano yao na ahadi zao walizo fungamana nazo; wala hawavunji maagano walio fungamana nayo kwa jina la Mwenyezi Mungu baina yao na waja wenzi wao, na kwa maagano makubwa walio jifunga nayo kwa maumbile yaliyo wafanya waitambue Haki na waamini, isipo kuwa walipo jipoteza wenyewe nafsi zao.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- La, hasha! Hakika Sisi tumewaumba kutokana na wanacho kijua.
- Isipo kuwa iwe rehema itokayo kwa Mola wako Mlezi. Hakika fadhila yake kwako ni kubwa.
- Wala sisi hatutaadhibiwa.
- Hakika kwa Mola wako Mlezi ndio marejeo.
- Na kuvitoa vilivyo kuwa ndani yake, ikawa tupu,
- Wala usitoe kwa kutaraji kuzidishiwa.
- Na Mwenyezi Mungu amepiga mfano wa mji ulio kuwa na amani na utulivu, riziki yake
- Na Nabii wao akawaambia: Alama ya ufalme wake ni kukuleteeni lile sanduku ambalo mna ndani
- Ya Firauni. Hakika yeye alikuwa jeuri katika wenye kupindukia mipaka.
- Na alipo wajia Mtume kutoka kwa Mwenyezi Mungu, mwenye kuthibitisha yale waliyo nayo, kundi moja
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Raad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Raad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Raad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers