Surah Anam aya 15 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قُلْ إِنِّي أَخَافُ إِنْ عَصَيْتُ رَبِّي عَذَابَ يَوْمٍ عَظِيمٍ﴾
[ الأنعام: 15]
Sema: Mimi naogopa adhabu ya Siku kubwa hiyo ikiwa nitamuasi Mola wangu Mlezi.
Surah Al-Anam in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Say, "Indeed I fear, if I should disobey my Lord, the punishment of a tremendous Day."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Sema: Mimi naogopa adhabu ya Siku kubwa hiyo ikiwa nitamuasi Mola wangu Mlezi.
Sema: Mimi naogopa, nikenda kinyume na amri ya Mola Mlezi wangu na nikamuasi nisije nikapata adhabu ya hiyo Siku ya shida.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi litakase jina la Mola wako Mlezi aliye Mkubwa.
- Wakasema: Tumewakuta baba zetu wakiyaabudu.
- Basi leo hapa hana jamaa wa kumwonea uchungu,
- Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa.
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Wala hahimizi kumlisha masikini.
- Na utuandikie mema katika dunia hii na katika Akhera. Sisi tumerejea kwako. (Mwenyezi Mungu) akasema:
- Kwa yule miongoni mwenu anaye taka kwenda sawa.
- Basi tuliwapatiliza, tuka- wazamisha baharini kwa sababu walizikanusha Ishara zetu, na wakaghafilika nazo.
- Na watasema: Je, tutapewa muhula?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Anam with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Anam mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Anam Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers