Surah Insan aya 21 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿عَالِيَهُمْ ثِيَابُ سُندُسٍ خُضْرٌ وَإِسْتَبْرَقٌ ۖ وَحُلُّوا أَسَاوِرَ مِن فِضَّةٍ وَسَقَاهُمْ رَبُّهُمْ شَرَابًا طَهُورًا﴾
[ الإنسان: 21]
Juu yao zipo nguo za hariri laini za kijani kibichi, na hariri nzito ya at'ilasi. Na watavikwa vikuku vya fedha, na Mola wao Mlezi atawanywesha kinywaji safi kabisa.
Surah Al-Insan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Upon the inhabitants will be green garments of fine silk and brocade. And they will be adorned with bracelets of silver, and their Lord will give them a purifying drink.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Juu yao zipo nguo za hariri laini za kijani kibichi, na hariri nzito ya atilasi. Na watavikwa vikuku vya fedha, na Mola wao Mlezi atawanywesha kinywaji safi kabisa.
Juu yao zipo nguo za hariri nyepesi za kijani, na nguo za hariri nzito. Na mapambo yao yaliomo mikononi mwao ni vikuku vya fedha. Na Mola wao Mlezi atawanywesha kinywaji kingine kilio safi, hakina uchafu wala najisi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kisha tukakurudishieni nguvu zenu dhidi yao, na tukakusaidieni kwa mali na wana, na tukakujaalieni mkawa
- Watataka watoke Motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na adhabu inayo dumu.
- Na huanguka kifudifudi na huku wanalia, na inawazidisha unyenyekevu.
- Kwamba hakika bila ya shaka hii ni kauli ya Mjumbe mtukufu,
- Sema: Ni ya nani ardhi na viliomo ndani yake, kama nyinyi mnajua?
- Na Qur'ani tumeigawanya sehemu mbali mbali ili uwasomee watu kwa kituo, na tumeiteremsha kidogo kidogo.
- Na adhabu nyenginezo za namna hii.
- Hakika wawili hao ni katika waja wetu walio amini.
- Na nimekuteuwa kwa ajili ya nafsi yangu.
- Basi zilipo wafikia Ishara zetu hizo zenye kuonyesha, wakasema: Huu ni uchawi dhaahiri.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Insan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Insan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Insan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers