Surah Al Qamar aya 22 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ﴾
[ القمر: 22]
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani nyepesi kufahamika; lakini yupo anaye kumbuka?
Surah Al-Qamar in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We have certainly made the Qur'an easy for remembrance, so is there any who will remember?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qurani nyepesi kufahamika; lakini yupo anaye kumbuka?
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya sahali Qurani kwa ajili ya mawaidha na mazingatio, basi je, yupo wa kuwaidhika?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na katika usiku pia mtakase, na baada ya kusujudu.
- Wala hawatakuwa na waombezi miongoni mwa walio kuwa wakiwashirikisha na Mungu; na wao wenyewe watawakataa
- Ambao ni wanyenyekevu katika Sala zao,
- Naapa kwa zinazo tumwa kwa upole!
- (Tukamwambia:) Tengeneza nguo za chuma pana, na kadiria sawa katika kuunganisha. Na tendeni mema. Hakika
- Basi anaye taka atakumbuka.
- Je! Huyo hakuwa ni Muweza wa kufufua wafu?
- Wala wewe huwaombi ujira kwa haya. Hayakuwa haya ila ni mawaidha kwa walimwengu wote.
- Alif Lam Mim.
- Hawatakuomba ruhusa wale wanao muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wasende kupigana Jihadi kwa
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Qamar with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Qamar mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Qamar Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers