Surah Anam aya 5 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَقَدْ كَذَّبُوا بِالْحَقِّ لَمَّا جَاءَهُمْ ۖ فَسَوْفَ يَأْتِيهِمْ أَنبَاءُ مَا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ﴾
[ الأنعام: 5]
Wameikanusha Haki ilipo wajia. Basi zitawajia khabari za yale waliyo kuwa wakiyakejeli.
Surah Al-Anam in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
For they had denied the truth when it came to them, but there is going to reach them the news of what they used to ridicule.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wameikanusha Haki ilipo wajia. Basi zitawajia khabari za yale waliyo kuwa wakiyakejeli.
Wao wameikanusha Qurani ilipo wajia, na ilhali hiyo ni Haki isiyo changanyika na upotovu! Basi yatawapata mateso ya duniani, na adhabu ya Akhera, kama ilivyo eleza Qurani. Na hapo utawabainikia ukweli wa onyo lake walilo kuwa wakilifanyia maskhara.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na Pepo ikasogezwa,
- Na shari ya alivyo viumba,
- Na zinazo beba mizigo,
- Moto utababua nyuso zao, nao watakuwa na nyuso zilizo kunjana.
- Na Wallahi! Nitayafanyia vitimbi masanamu yenu haya baada ya mkisha geuka kwenda zenu.
- Wakae juu ya viti vya enzi wakiangalia.
- Na Kitabu kilicho andikwa
- Mwenyezi Mungu ni yule ambaye ameziumba mbingu saba, na ardhi kwa mfano wa hizo. Amri
- Akasema: Enyi watu wangu! Kwa nini mnauhimiza uwovu kabla ya wema? Kwa nini hamuombi msamaha
- Itakapo tikiswa ardhi kwa mtikiso,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Anam with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Anam mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Anam Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers