Surah Jathiyah aya 29 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿هَٰذَا كِتَابُنَا يَنطِقُ عَلَيْكُم بِالْحَقِّ ۚ إِنَّا كُنَّا نَسْتَنسِخُ مَا كُنتُمْ تَعْمَلُونَ﴾
[ الجاثية: 29]
Hichi kitabu chetu kinasema juu yenu kwa haki. Hakika Sisi tulikuwa tukiyaandika mliyo kuwa mkiyatenda.
Surah Al-Jaathiyah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
This, Our record, speaks about you in truth. Indeed, We were having transcribed whatever you used to do."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hichi kitabu chetu kinasema juu yenu kwa haki. Hakika Sisi tulikuwa tukiyaandika mliyo kuwa mkiyatenda.
Na wataambiwa: Hichi hapa kitabu chetu tulimo sajili vitendo vyenu, nanyi mmekichukua kwa mikono yenu, kinataja juu yenu yale mliyo yatenda kwa ushahidi wa kweli. Hakika Sisi tulikuwa tukiwataka Malaika waandike, ili tupate kukuhasibieni yaliyo tokana nanyi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni,
- Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani,
- Kwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi.
- Hakika huo ni mti unao toka katikati ya Jahannamu.
- (Firauni) akasema: Hakika huyu Mtume wenu aliye tumwa kwenu ni mwendawazimu.
- Na ambaye atanifisha, na kisha atanihuisha.
- Na mwenyewe akajua kwa hakika kuwa huko ndiko kufariki;
- Ambaye ametengeneza vizuri umbo la kila kitu; na akaanzisha kumuumba mtu kwa udongo.
- Na wala huyu mwenzenu hana wazimu.
- Hakika kuijua Saa (ya Kiyama) kuko kwa Mwenyezi Mungu. Na Yeye ndiye anaye iteremsha mvua.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Jathiyah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Jathiyah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Jathiyah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers