Surah Sad aya 45 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَاذْكُرْ عِبَادَنَا إِبْرَاهِيمَ وَإِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ أُولِي الْأَيْدِي وَالْأَبْصَارِ﴾
[ ص: 45]
Na wakumbuke waja wetu, Ibrahim na Is-haqa na Yaa'qubu walio kuwa na nguvu na busara.
Surah Saad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And remember Our servants, Abraham, Isaac and Jacob - those of strength and [religious] vision.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wakumbuke waja wetu, Ibrahim na Is-haqa na Yaaqubu walio kuwa na nguvu na busara.
Na mkumbuke mja wetu Ibrahim, na Is-haqa, na Yaaqubu, wenye nguvu katika Dini na dunia, na wenye busara ya mwangaza.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kisha tukaotesha humo nafaka,
- Siku hiyo mtu atasema: Yako wapi makimbilio?
- Mbora wao akasema: Sikukwambieni, kwa nini hamumtakasi Mwenyezi Mungu?
- Huyu si lolote ila ni mtu anaye mzulia Mwenyezi Mungu uwongo, wala sisi sio wa
- Je! Katika viumbe vyote mnawaingilia wanaume?
- Ni kama wale walio kuwa kabla yenu. Walikuwa wana nguvu na mali na watoto zaidi
- Na hakika walikanushwa Mitume wa kabla yako. Nao wakavumilia kule kukanushwa, na kuudhiwa, mpaka ilipo
- Humo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi kali.
- Na msivyo viona,
- Na wimbi linapo wafunika kama wingu, wao humwomba Mwenyezi Mungu kwa kumsafia dini. Lakini anapo
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Sad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Sad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Sad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers