Surah Qaf aya 45 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿نَّحْنُ أَعْلَمُ بِمَا يَقُولُونَ ۖ وَمَا أَنتَ عَلَيْهِم بِجَبَّارٍ ۖ فَذَكِّرْ بِالْقُرْآنِ مَن يَخَافُ وَعِيدِ﴾
[ ق: 45]
Sisi tunajua kabisa wayasemayo. Wala wewe si mwenye kuwatawalia kwa ujabari. Basi mkumbushe kwa Qur'ani anaye liogopa onyo.
Surah Qaf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
We are most knowing of what they say, and you are not over them a tyrant. But remind by the Qur'an whoever fears My threat.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Sisi tunajua kabisa wayasemayo. Wala wewe si mwenye kuwatawalia kwa ujabari. Basi mkumbushe kwa Qurani anaye liogopa onyo.
Sisi tunajua kuliko yeyote hayo wayasemayo ya uwongo juu yaliyo khusu Utume wako. Wala wewe hukutumwa uwalazimishe kwa unayo yataka. Ila wewe ni mwonyaji basi mkumbushe kwa Qurani Muumini mwenye kuiogopa adhabu yangu ili ukumbusho umfae..
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Sivyo hivyo! Bali nyinyi hamuwakirimu mayatima,
- Je! Umemwona yule aliye geuka?
- Hakika walio kufuru na wakafa hali ni makafiri, hao iko juu yao laana ya Mwenyezi
- Na mkumbuke Mola Mlezi wako nafsini kwako kwa unyenyekevu na khofu, na bila ya kupiga
- BASI NI NANI dhaalimu mkubwa kuliko yule aliye msingizia uwongo Mwenyezi Mungu na kuikanusha kweli
- Na hatuwatumi Mitume ila wawe wabashiri na waonyaji. Na walio kufuru wanabishana kwa uwongo, ili
- Naapa kwa mchana!
- Na mbingu jinsi ilivyo inuliwa?
- Kisha watarudishwa kwa Mwenyezi Mungu, Mola wao wa Haki. Hakika, hukumu ni yake. Naye ni
- Na sema: Hakika mimi ni mwonyaji mwenye kubainisha.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qaf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qaf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qaf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers