Surah Al-Haqqah aya 46 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿ثُمَّ لَقَطَعْنَا مِنْهُ الْوَتِينَ﴾
[ الحاقة: 46]
Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wa moyo!
Surah Al-Haqqah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Then We would have cut from him the aorta.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wa moyo!
Kisha bila ya shaka tungeli mkata mshipa wake wa moyo, afe saa ile ile. (Biblia inasema katika Kumbukumbu la Torati 18.20 -Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa.-)
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi wanapo fikia muda wao, ima warejeeni muwaweke kwa wema, au farikianeni nao kwa wema.
- Akasema: Na nani anaye kata tamaa na rehema ya Mola wake Mlezi ila wale walio
- Na litapulizwa barugumu, mara watatoka makaburini wakikimbilia kwa Mola wao Mlezi.
- Kisha bila ya shaka mtagombana Siku ya Kiyama mbele ya Mola wenu Mlezi.
- Isipo kuwa wale waja wako miongoni mwao walio khitariwa.
- Na utapo ambatishwa muundi kwa muundi,
- Na wasimamisheni. Hakika hao watasailiwa:
- Ila wale walio subiri wakatenda mema. Hao watapata msamaha na ujira mkubwa.
- Wala msiwapunje watu vitu vyao, wala msifanye jeuri kwa ufisadi.
- Wakasema: Tuombee kwa Mola wako Mlezi atupambanulie ni ng'ombe gani? Akasema: Hakika Yeye anasema kwamba
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al-Haqqah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al-Haqqah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al-Haqqah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers