Surah Naml aya 6 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِنَّكَ لَتُلَقَّى الْقُرْآنَ مِن لَّدُنْ حَكِيمٍ عَلِيمٍ﴾
[ النمل: 6]
Na hakika wewe unafundishwa Qur'ani inayo tokana kwake Mwenye hikima Mwenye kujua.
Surah An-Naml in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And indeed, [O Muhammad], you receive the Qur'an from one Wise and Knowing.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na hakika wewe unafundishwa Qurani inayo tokana kwake Mwenye hikima Mwenye kujua.
Ewe Nabii! Wewe unapokea Qurani hii unayo teremshiwa kutokana na Yeye ambaye hapana anaye mkaribia kwa hikima yake, naye anajua kila kitu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na bila ya shaka tuliwaokoa Wana wa Israili katika adhabu ya kuwadhalilisha,
- Hakika bila ya shaka katika hayo ipo Ishara; lakini wengi wao si katika wenye kuamini.
- Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa,
- Na ikiwa hamniamini, basi jitengeni nami.
- Wale ambao wanakungojeeni, mkipata ushindi unao toka kwa Mwenyezi Mungu wao husema: Si tulikuwa pamoja
- Ukiwang'oa watu kama vigogo vya mitende vilio ng'olewa.
- Hakika hao hawakuwa wakitaraji kuwa kuna hisabu.
- Nusu yake, au ipunguze kidogo.
- La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa,
- Hukitoa kilicho hai kutokana na kilicho kufa, na hukitoa kilicho kufa kutokana na kilicho hai.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Naml with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Naml mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Naml Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers