Surah Ad Dukhaan aya 58 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَإِنَّمَا يَسَّرْنَاهُ بِلِسَانِكَ لَعَلَّهُمْ يَتَذَكَّرُونَ﴾
[ الدخان: 58]
Basi tumeifanya nyepesi hii Qur'ani kwa ulimi wako, ili wapate kukumbuka.
Surah Ad-Dukhaan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And indeed, We have eased the Qur'an in your tongue that they might be reminded.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Basi tumeifanya nyepesi hii Qurani kwa ulimi wako, ili wapate kukumbuka.
Basi hakika Sisi tumekufanyia wepesi kuisoma Qurani na kuifikisha kama ilivyo teremka kwa lugha yako, na lugha yao, ili wapate kuwaidhika, na waiamini, na watende kwa mujibu yaliomo ndani yake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Msiombe kufa mara moja tu, bali mfe mara nyingi!
- Bali utawafikia kwa ghafla, na utawashitua na wala hawataweza kuurudisha, wala hawatapewa muhula!
- Na Mwenyezi Mungu hakufanya haya ila kuwa ni bishara kwenu, na ili nyoyo zenu zipate
- Na mt'iini Mwenyezi Mungu na Mtume ili mpate kurehemewa.
- Hakika Mti wa Zaqqum,
- Anataka kukutoeni katika nchi yenu. Basi mnatoa shauri gani?
- Ewe nafsi iliyo tua!
- Na kundi moja katika miongoni mwao lilipo sema: Enyi watu wa Yathrib! Hapana kukaa nyinyi!
- Na mabustani na chemchem.
- Na watu wa Peponi watawanadia watu wa Motoni: Sisi tumekuta aliyo tuahidi Mola wetu Mlezi
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ad Dukhaan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ad Dukhaan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ad Dukhaan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers