Surah Yasin aya 62 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدْ أَضَلَّ مِنكُمْ جِبِلًّا كَثِيرًا ۖ أَفَلَمْ تَكُونُوا تَعْقِلُونَ﴾
[ يس: 62]
Na bila ya shaka yeye amekwisha lipoteza kundi kubwa miongoni mwenu. Je, hamkuwa mkifikiri?
Surah Ya-Sin in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And he had already led astray from among you much of creation, so did you not use reason?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na bila ya shaka yeye amekwisha lipoteza kundi kubwa miongoni mwenu. Je, hamkuwa mkifikiri?
Na Shetani amewapotoa viumbe wengi kati yenu. Nyinyi mmeghafilika na hayo. Basi hamkuwa mkifikiri mlipo mtii yeye?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wala mimi si wa kuwafukuza Waumini.
- Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu.
- Wala hawatayatamani kabisa, kwa sababu ya iliyo kwisha yatanguliza mikono yao. Na Mwenyezi Mungu anawajua
- Na kumbukeni mlipo kuwa wachache, mkionekana wanyonge katika nchi, mnaogopa watu wasikunyakueni, naye akakupeni pahala
- Nendeni kwenye kivuli chenye mapande matatu!
- Na hakika hii bila ya shaka ni haki ya yakini.
- Wala msiwapunje watu vitu vyao, wala msifanye jeuri kwa ufisadi.
- Haiwi kauli ya Waumini wanapo itwa kwa Mwenyezi Mungu na Mtume wake ili ahukumu baina
- Na hakuwafikia Mtume ila walimkejeli.
- Sema: Yeye ndiye aliye kutawanyeni katika ardhi, na kwake mtakusanywa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yasin with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yasin mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yasin Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers