Surah Anbiya aya 76 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَنُوحًا إِذْ نَادَىٰ مِن قَبْلُ فَاسْتَجَبْنَا لَهُ فَنَجَّيْنَاهُ وَأَهْلَهُ مِنَ الْكَرْبِ الْعَظِيمِ﴾
[ الأنبياء: 76]
Na Nuhu alipo ita zamani, nasi tukamuitikia, na tukamwokoa yeye na watu wake kutokana na shida kubwa.
Surah Al-Anbiya in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And [mention] Noah, when he called [to Allah] before [that time], so We responded to him and saved him and his family from the great flood.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Nuhu alipo ita zamani, nasi tukamuitikia, na tukamwokoa yeye na watu wake kutokana na shida kubwa.
Na hapa tumjaje Nuh kabla ya Ibrahim na LuUt, pale alipo muomba Mola wake Mlezi, aisafishe nchi kwa kuondoa waovu tukamuitikia ombi lake, tukamuokowa yeye na wale walioamini katika watu wake, kutokana na shakawa (shida) ya kimbunga kikubwa.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ili kwa hayo tuihuishe nchi iliyo kufa, na tuwanyweshe wanyama na watu wengi tulio waumba.
- Na anaye kufuru, isikuhuzunishe kufuru yake. Kwetu ndio marudio yao, na hapo tutawaambia waliyo yatenda.
- Hata ukiwa na pupa ya kutaka kuwaongoa, lakini Mwenyezi Mungu hamwongoi yule anaye shikilia kupotea.
- Na kina Thamud tuliwapelekea ndugu yao Saleh. Akasema: Enyi watu wangu! Muabuduni Mwenyezi Mungu. Nyinyi
- Sivyo hivyo! Huku ni kukumbushana.
- Na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia.
- Je! Hazikuwa Aya zangu mkisomewa, na nyinyi mkizikanusha?
- Akawaashiria (mtoto). Wakasema: Vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi?
- Juu yao zipo nguo za hariri laini za kijani kibichi, na hariri nzito ya at'ilasi.
- Je! Hawaoni kwamba tumewaumbia kutokana na iliyo fanya mikono yetu wanyama wa mifugo, na wao
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Anbiya with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Anbiya mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Anbiya Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers