Surah Qalam aya 42 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ وَيُدْعَوْنَ إِلَى السُّجُودِ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ﴾
[ القلم: 42]
Siku utakapo wekwa wazi mundi, na wataitwa kusujudu, lakini hawataweza,
Surah Al-Qalam in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
The Day the shin will be uncovered and they are invited to prostration but the disbelievers will not be able,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Siku utakapo wekwa wazi mundi, na wataitwa kusujudu, lakini hawataweza,
Siku mambo yatapo shitadi na yakawa magumu, na wakatakiwa makafiri wasujudu kwa kuwaemea na kuwakejeli, na wasiweze, (Kuwekwa wazi mundi, ni kinaya ya kudhihirishwa kweli yote Siku ya kwima kondo, Siku ya Kiyama. Chambilecho Sayyid Abdulla bin Ali bin Nassir katika Al Inkishaf: Tafakari siku ya kwima kondo Ya kuaridhiwa kila kitendo Pindi madhulumu atapo ondo Achamba Ya Rabi namua naye)
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kisha kwa yakini tutawatoa katika kila kundi wale miongoni mwao walio zidi kumuasi Arrahmani, Mwingi
- Basi usiwat'ii makafiri. Na pambana nao kwayo kwa Jihadi kubwa.
- Akijiona katajirika.
- Mwenyezi Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye
- Na Sisi tukawadhalilishia. Basi baadhi yao wako wanao wapanda, na baadhi yao wanawala.
- T'aa Siin Miim. (T'. S. M.)
- Alipo waambia ndugu yao Saleh: Je! Hamumchimngu?
- Mwenyezi Mungu atawadhihaki wao na atawawacha katika upotofu wao wakitangatanga ovyo.
- Na Waonyaji waliwafikia watu wa Firauni.
- Basi alimwonyesha Ishara kubwa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qalam with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qalam mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qalam Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers