Surah Baqarah aya 8 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَمِنَ النَّاسِ مَن يَقُولُ آمَنَّا بِاللَّهِ وَبِالْيَوْمِ الْآخِرِ وَمَا هُم بِمُؤْمِنِينَ﴾
[ البقرة: 8]
Na katika watu, wako wasemao: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini.
Surah Al-Baqarah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And of the people are some who say, "We believe in Allah and the Last Day," but they are not believers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na katika watu, wako wasemao: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini.
Na miongoni mwa makafiri wapo watu ambao husema kwa ndimi zao yasiyo kuwamo nyoyoni mwao. Hudhihirisha imani na kusema: -Sisi tunamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Kiyama,- na wala hawasemi kweli. Basi hao hawaingii katika kundi la Waumini.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na kwa hakika malipo bila ya shaka yatatokea.
- Hatauingia ila mwovu kabisa!
- Na nyinyi wakati huo mnatazama!
- Enyi mlio amini! Yasikusahaulisheni mali yenu, wala watoto wenu, kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Na wenye kufanya
- Wakamchinja. Basi (Saleh) akasema: Stareheni katika mji wenu muda wa siku tatu. Hiyo ni ahadi
- Hakika Mwenyezi Mungu hakifichiki chochote kwake, duniani wala mbinguni.
- Wanao mkimbia simba!
- Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya
- Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio khitariwa.
- Kwa vikombe na mabirika na bilauri za vinywaji kutoka chemchem safi.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Baqarah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Baqarah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Baqarah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers