Surah Sajdah aya 8 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿ثُمَّ جَعَلَ نَسْلَهُ مِن سُلَالَةٍ مِّن مَّاءٍ مَّهِينٍ﴾
[ السجدة: 8]
Na kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi cha maji madhaifu.
Surah As-Sajdah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Then He made his posterity out of the extract of a liquid disdained.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi cha maji madhaifu.
Kisha akawafanya dhuriya zake wa namna mbali mbali kutokana na maji machache, dhaifu, yasiyo tamanika kwa kawaida. Katika Aya hii tukufu -utokane na kizazi cha maji dhaifu-. Neno la Kiarabu lilio tumiwa ni -Mahiin-. Neno hili likitumiwa kwa mtu lina maana ya -dhaif-, mnyonge, na pia lina maana ya -chache-. Basi kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu: -Min maain mahiin- maana yake ni -kutokana na maji machache dhaifu- , ndiyo ya kudharauliwa. Mfano wa hayo ni kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu: -Au mimi si bora kuliko huyu aliye (mahiin) mnyonge wala hawezi kusema waziwazi?- (Azzukhruf: 43.52). Na neno -Mahana al-ibila- maana yake -Kamkama maziwa ngamia-. Kwa hivyo basi hapana ubaya kulifasiri neno hili Mahiin katika Aya hii kwa maana ya maji yanayo toka kwa kuchupa, au kumiminika, (kama yanavyo toka maziwa kwenye chuchu) au machache.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Inapo mgusa shari hupapatika.
- Ila ni kutaka radhi ya Mola wake Mlezi aliye juu kabisa.
- Na lau kama Mwenyezi Mungu angeli wafanyia watu haraka kuwaletea shari kama wanavyo jihimizia kuletewa
- Mwenye kutaraji kukutana na Mwenyezi Mungu, basi hakika miadi ya Mwenyezi Mungu itafika bila ya
- Wawekeni humo humo mnamo kaa nyinyi kwa kadiri ya pato lenu, wala msiwaletee madhara kwa
- Watu wa Lut'i waliwakanusha Mitume.
- Akijiona katajirika.
- Inayo gonga!
- Na huwalisha chakula, juu ya kukipenda kwake, masikini, na yatima, na wafungwa.
- Hawawi sawa Waumini wanao kaa tu wala hawanadharura, na wale wanao pigana katika Njia ya
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Sajdah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Sajdah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Sajdah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers