Surah Assaaffat aya 48 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَعِندَهُمْ قَاصِرَاتُ الطَّرْفِ عِينٌ﴾
[ الصافات: 48]
Na watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha mazuri.
Surah As-Saaffat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And with them will be women limiting [their] glances, with large, [beautiful] eyes,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na watakuwa nao wanawake wenye macho ya staha mazuri.
Na watu hawa watiifu walioko Peponi watakuwa nao mahuruleini walio safi, wema, macho yao hayawatazami ila waume zao tu, basi hawayatafuti matamanio maovu, jicho la mwema haliangalii ila mema.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa.
- Wakasema: Wallahi! Hakika bado ungali katika upotovu wako wa zamani.
- Akapambazukiwa mjini asubuhi naye ana khofu, akiangalia huku na huku. Mara yule yule aliye mtaka
- Yanachukiza vikubwa mno kwa Mwenyezi Mungu kuwa mnasema msiyo yatenda.
- Na kwa hakika walifanya vitimbi vyao, na vitimbi vyao anavijua Mwenyezi Mungu. Wala vitimbi vyao
- Na kwa hakika wewe una malipo yasiyo katika.
- Na tulimuinua daraja ya juu.
- Na mabustani na chemchem.
- Watanong'onezana wao kwa wao: Hamkukaa ila siku kumi tu.
- Wala hawakusema: Mungu akipenda!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Assaaffat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Assaaffat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Assaaffat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



