Surah Nisa aya 82 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَفَلَا يَتَدَبَّرُونَ الْقُرْآنَ ۚ وَلَوْ كَانَ مِنْ عِندِ غَيْرِ اللَّهِ لَوَجَدُوا فِيهِ اخْتِلَافًا كَثِيرًا﴾
[ النساء: 82]
Hebu hawaizingatii hii Qur'ani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi.
Surah An-Nisa in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Then do they not reflect upon the Qur'an? If it had been from [any] other than Allah, they would have found within it much contradiction.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hebu hawaizingatii hii Qurani? Na lau kuwa imetoka kwa asiye kuwa Mwenyezi Mungu bila ya shaka wangeli kuta ndani yake khitilafu nyingi.
Basi hao wanaafiki hawakizingatii Kitabu cha Mwenyezi Mungu wakajua hoja za Mwenyezi Mungu zilio juu yao kuwa ni waajibu kutii na kufuata amri yako? Na kwamba Kitabu hichi kinatoka kwa Mwenyezi Mungu kwa yalivyo shikamana maana yake na hukumu zake, na kinavyo fungamana wenyewe kwa wenyewe? Hii ni dalili kuwa ni kweli kinatoka kwa Mwenyezi Mungu; kwani lau kuwa kinatokana na mwenginewe basi maana yake yangeli gongana, na hukumu zake zingeli khitalifiana sana.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesa jicho.
- Wala watu hawakuwa ila Umma mmoja tu. Kisha wakakhitalifiana. Na lau kuwa si neno lililo
- Na tazama, na wao wataona.
- Akasema (Sulaiman): Tutatazama umesema kweli au wewe ni miongoni mwa waongo.
- Hizi ni katika khabari za ghaibu tunazo kufunulia. Hukuwa ukizijua wewe, wala watu wako, kabla
- Waachilie mbali walio ifanya dini yao ni mchezo na pumbao, na uhai wa dunia ukawaghuri.
- Na ngamia wenye mimba pevu watakapo achwa wasishughulikiwe,
- Na Mwenyezi Mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa
- Na Mitume watakapo wekewa wakati wao,
- Basi leo hapa hana jamaa wa kumwonea uchungu,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nisa with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nisa mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nisa Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers