Surah Al Isra aya 89 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدْ صَرَّفْنَا لِلنَّاسِ فِي هَٰذَا الْقُرْآنِ مِن كُلِّ مَثَلٍ فَأَبَىٰ أَكْثَرُ النَّاسِ إِلَّا كُفُورًا﴾
[ الإسراء: 89]
Na hakika tumewaeleza watu katika hii Qur'ani kwa kila mfano. Lakini watu wengi wanakataa isipo kuwa kukanusha tu.
Surah Al-Isra in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We have certainly diversified for the people in this Qur'an from every [kind] of example, but most of the people refused [anything] except disbelief.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na hakika tumewaeleza watu katika hii Qurani kwa kila mfano. Lakini watu wengi wanakataa isipo kuwa kukanusha tu.
Na katika Qurani hii tumewaeleza watu kwa namna mbali mbali kila maana kama ni mifano katika maajabu yake. Lakini watu wengi walikataa ila kupinga na kuchukia.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Lakini walikatiana jambo lao mapande mbali mbali. Kila kundi likifurahia kwa waliyo nayo.
- Wala hatukuangamiza mji wo wote ila ulikuwa na waonyaji -
- Kwa nusura ya Mwenyezi Mungu humnusuru amtakaye. Naye ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.
- Basi wakamwokota watu wa Firauni, aje kuwa adui kwao na huzuni. Hakika Firauni na Hamana
- Basi waulize: Ati Mola wako Mlezi ndiye mwenye watoto wa kike, na wao wanao watoto
- Ewe uliye jigubika!
- Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake.
- Je, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia baba zao wa zamani?
- Na ama mwenye kufanya ubakhili, na asiwe na haja ya wenzake,
- Viziwi, mabubu, vipofu; kwa hivyo hawatarejea.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Isra with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Isra mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Isra Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



