Surah Nahl aya 103 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدْ نَعْلَمُ أَنَّهُمْ يَقُولُونَ إِنَّمَا يُعَلِّمُهُ بَشَرٌ ۗ لِّسَانُ الَّذِي يُلْحِدُونَ إِلَيْهِ أَعْجَمِيٌّ وَهَٰذَا لِسَانٌ عَرَبِيٌّ مُّبِينٌ﴾
[ النحل: 103]
Na Sisi hakika tunajua kwamba wanasema: Yuko mtu anaye mfundisha. Lugha ya huyo wanaye muelekezea ni ya kigeni, na hii ni lugha ya Kiarabu mbayana.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We certainly know that they say, "It is only a human being who teaches the Prophet." The tongue of the one they refer to is foreign, and this Qur'an is [in] a clear Arabic language.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Sisi hakika tunajua kwamba wanasema: Yuko mtu anaye mfundisha.Lugha ya huyo wanaye muelekezea ni ya kigeni, na hii ni lugha ya Kiarabu mbayana.
Hakika Sisi tunajua wayasemayo makafiri wa Makka, nayo: Hamfundishi Muhammad hii Qurani ila mtu tunaye mjua, naye ni kijana wa Kirumi. Wala hamteremshii Malaika kutoka kwa Mwenyezi Mungu kama asemavyo! Na kauli yao hii ni ya uwongo. Kwani huyo kijana wanaye sema kuwa anakufundisha wewe ni mgeni, hajui Kiarabu vizuri. Na Qurani ni lugha ya Kiarabu kilicho wazi cha ufasihi, hata imekuwa nyinyi wabishi mmeshindwa kuleta mfano wake. Basi hizo tuhuma zenu zina maana gani?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ambao wameghafilika katika ujinga.
- Na hatukukuteremshia Kitabu isipo kuwa uwabainishie yale ambayo wanakhitalifiana, na kiwe Uwongofu na Rehema kwa
- Kina A'd waliwakanusha Mitume.
- Kisha tukawazamisha baadaye walio bakia.
- Na kulinda na kila shet'ani a'si.
- Ni nyinyi mlio uumba mti wake au Sisi ndio Waumbaji?
- Enyi Watu wa Kitabu! Bila ya shaka amekujilieni Mtume wetu akikubainishieni katika wakati usio kuwa
- Yeye ndiye anaye mteremshia mja wake Aya zinazo bainisha wazi ili akutoeni gizani muingie kwenye
- Anaye yafanyia upofu maneno ya Rahmani tunamwekea Shet'ani kuwa ndiye rafiki yake.
- Basi walipo kuja wachawi wakamwambia Firauni: Je! Tutapata ujira tukiwa sisi ndio tulio shinda?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers